chromium/ios/chrome/app/strings/resources/ios_chromium_strings_sw.xtb

<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1046370274005147998">Tafuta Ukitumia Sauti kwenye Chromium.</translation>
<translation id="1047130070405668746">Chagua Chromium</translation>
<translation id="1091252999271033193">Hii inamaanisha kwamba Chromium itahitaji tovuti ya kifaa cha mkononi kila wakati.</translation>
<translation id="1115463765356382667">Kamilisha vitendo hivi vilivyopendekezwa hapa chini ili unufaike zaidi na Chromium.</translation>
<translation id="1171824629317156389">Fungua Mipangilio ya Chromium kwenye iOS, kisha uguse "Programu Chaguomsingi ya Kivinjari" na uchague Chromium.</translation>
<translation id="1185134272377778587">Kuhusu Chromium</translation>
<translation id="1257458525759135959">Ili uhifadhi picha, gusa Mipangilio ili uruhusu Chromium iweke kwenye picha zako</translation>
<translation id="12739128458173458">Ili utume kichupo hiki kwenye kifaa kingine, ingia katika akaunti kwenye Chromium katika vifaa vyote viwili.</translation>
<translation id="1361748954329991663">Toleo hili la Chromium limepitwa na wakati. Iwapo hakuna sasisho kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />App Store<ph name="END_LINK" />, kuna uwezekano kuwa kifaa chako hakitumii tena matoleo mapya ya Chromium.</translation>
<translation id="1423007117030725713">Anza kutafuta ukitumia kichupo kipya cha Chromium.</translation>
<translation id="1431818719585918472">Ruhusu Chromium ifunge vichupo vyako Fiche.</translation>
<translation id="146407871188825689">Kutumia Chromium kwenye iPad kwa Chaguomsingi</translation>
<translation id="1472013873724362412">Akaunti yako haifanyi kazi kwenye Chromium. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako wa kikoa au utumie Akaunti ya kawaida ya Google kuingia.</translation>
<translation id="1503199973012840174">Toleo lako la Chromium limepitwa na wakati. Lisasishe ili uimarishe usalama.</translation>
<translation id="1507010443238049608">Tusaidie Kuboresha Utendaji na Vipengele vya Chromium</translation>
<translation id="1513122820609681462">Ifanye Chromium Iwe Kivinjari Chaguomsingi</translation>
<translation id="1531155317299575425">Huonyesha vidokezo vya kuingia katika akaunti kwenye Chromium.</translation>
<translation id="1561849081734670621">Ili uzime Hali ya Kufunga katika Chromium, izime kwenye iPhone yako.</translation>
<translation id="159029779861043703">Chromium huweka data yako nyeti salama kwa kutumia Face ID.</translation>
<translation id="1591119736686995611">Hufungua Gridi ya Kichupo cha Chromium.</translation>
<translation id="16001233025397167">Kipengele cha Ukaguzi wa Usalama hukulinda dhidi ya ufichuzi haramu wa data, tovuti zisizo salama na zaidi. Pokea arifa kuhusu matatizo yoyote ya faragha au ya usalama ambayo Chromium itatambua kuwa yanakuathiri.</translation>
<translation id="1611584326765829247">Ruhusu Chromium ikusaidie kufuatilia vifurushi vyako</translation>
<translation id="1617663976202781617">Data kutoka usawazishaji wa Chromium</translation>
<translation id="1647558790457890304">Mipangilio ya Chromium</translation>
<translation id="164952285225495380">Kifurushi hiki tayari kimefuatiliwa kwenye Chromium.</translation>
<translation id="1707458603865303524">Tumia Chromium wakati wowote unapogusa viungo kwenye ujumbe au programu nyingine.</translation>
<translation id="1722370509450468186">Nenosiri lako litahifadhiwa katika Akaunti yako (<ph name="EMAIL" />).</translation>
<translation id="1791845338122684020">Hufungua Ukurasa wa Historia wa Chromium.</translation>
<translation id="1811860791247653035">Ili upate mapendeleo na vipengele vingine, jumuisha Chromium kwenye <ph name="FEATURE_NAME_1" /> pamoja na <ph name="FEATURE_NAME_2" /></translation>
<translation id="1838412507805038478">Chromium imethibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii.</translation>
<translation id="1843424232666537147">Chromium ina vipengele vinavyokusaidia kudhibiti data yako ya intaneti na kasi unayoweza kupakia nayo kurasa za wavuti.
<ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="1847960401032164406">Ramani katika Chromium</translation>
<translation id="1867772173333403444">4. Chagua Chromium</translation>
<translation id="2006345422933397527">Chromium imeshindwa kukagua kama kuna masasisho. Jaribu kuangalia muunganisho wako wa Intaneti.</translation>
<translation id="2042889939382983733">Kuangalia Historia Yako ya Chromium</translation>
<translation id="2052320862053429062">Chromium hukagua mara kwa mara manenosiri yako ikilinganisha na orodha ambazo zimechapishwa mtandaoni. Wakati inafanya hivyo, manenosiri na majina yako ya mtumiaji huwa yamesimbwa kwa njia fiche, kwa hivyo hayawezi kusomwa na mtu mwingine, ikiwemo Google.</translation>
<translation id="2054703085270098503">Kaa Salama Kwa Kutumia Chromium</translation>
<translation id="2098023844024447022">Fungua Kichupo Changu Kipya kwenye Chromium.</translation>
<translation id="2109439615198500433">Kidokezo cha Chromium</translation>
<translation id="2147210759439165826">Endelea kupokea maudhui na vidokezo muhimu vya Chromium.</translation>
<translation id="2168108852149185974">Baadhi ya programu jalizi husababisha Chromium iache kufanya kazi. Tafadhali ondoa:</translation>
<translation id="2178608107313874732">Chromium haiwezi kutumia kamera yako hivi sasa</translation>
<translation id="2195025571279539885">Je, ungependa Chromium ijitolee kutafsiri kurasa za <ph name="LANGUAGE_NAME" /> kwenye tovuti hii wakati ujao?</translation>
<translation id="2216344354848599203">Bonyeza na ushikilie aikoni ya Chromium kisha ubofye "Badilisha Skrini ya Kwanza"</translation>
<translation id="2218146227246548550">Shirika lako linahitaji uingie katika akaunti ili uweze kutumia Chromium. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata Maelezo Zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="22313767259766852">Anwani hii kwa sasa imehifadhiwa kwenye Chromium. Ili uitumie kwenye bidhaa mbalimbali za Google, ihifadhi kwenye Akaunti yako ya Google, <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="2236584955986023187">Hii inamaanisha kwamba Chromium itahitaji tovuti ya kompyuta kila wakati.</translation>
<translation id="2313870531055795960">Hukagua URL ili kuona iwapo zipo kwenye orodha ya tovuti zisizo salama zilizohifadhiwa katika Chromium. Ikiwa tovuti inajaribu kuiba nenosiri lako au unapopakua faili hatari, Chromium inaweza pia kutuma URL, ikiwa ni pamoja na sehemu za maudhui ya ukurasa, kwa kipengele cha Kuvinjari Salama.</translation>
<translation id="231828342043114302">Ili upokee maudhui yaliyowekewa mapendeleo kulingana na mambo yanayokuvutia, ingia katika akaunti kwenye Chromium.</translation>
<translation id="2326738825692478496">Baadhi ya data yako ya Chromium bado haijahifadhiwa kwenye Akaunti yako ya Google.

Jaribu kusubiri kwa dakika chache kabla ya kuondoka kwenye akaunti. Ukiondoka kwenye akaunti sasa, data hii itafutwa.</translation>
<translation id="2374627437126809292">Chromium hutumia Ramani za Google kukupatia maelekezo na maelezo ya eneo husika kwenye anwani zilizotambuliwa.</translation>
<translation id="2386292341327187942">Kwenye kisanduku cha Wijeti za Utafutaji, weka Chromium</translation>
<translation id="2426113998523353159">Shirika lako linahitaji uingie katika akaunti ili uweze kutumia Chromium.</translation>
<translation id="2450140762465183767">Sasa unaweza kutumia Chromium wakati wowote unapogusa viungo katika ujumbe, hati na programu zingine.</translation>
<translation id="2478931088402984578">Chagua <ph name="BEGIN_BOLD" />Chromium<ph name="END_BOLD" /></translation>
<translation id="2497941343438581585">Pata Uwezo wa Kutumia Kipengele cha Ununuzi kwenye Chromium</translation>
<translation id="252374538254180121">Kufanya Chromium iwe Kivinjari Chaguomsingi</translation>
<translation id="2574528844022712255">Angalia Alamisho za Chromium</translation>
<translation id="2590893390871230428">Sawazisha Data Yako kwenye Chromium</translation>
<translation id="2592940277904433508">Endelea kutumia Chromium</translation>
<translation id="2607609479243848905">Ikiwa ulisahau kauli yako ya siri au ungependa kubadilisha mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK" />futa data ya Chromium kwenye akaunti yako<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="2618596336309823556">Kwenye Mipangilio ya kifaa chako, fungua "<ph name="TEXT_OF_THE_SETTINGS_MENU_ITEM" />" kisha uchague "Chromium"</translation>
<translation id="2618757400690011108">{COUNT,plural, =1{Chromium itasaidia kufuatilia kifurushi hiki kwenye Ukurasa Mpya wa Kichupo.}other{Chromium itasaidia kufuatilia vifurushi hivi kwenye Ukurasa Mpya wa Kichupo.}}</translation>
<translation id="2650312721222849884">Ili uone vichupo vyako kwenye kifaa chochote unakotumia Chromium, washa kipengele cha kusawazisha</translation>
<translation id="2684230048001240293">Weka Chromium iwe kivinjari chaguomsingi cha kusawazisha vichupo, manenosiri na maelezo yako ya malipo kwenye vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="2730884209570016437">Chromium imeshindwa kutumia kamera yako kwa sababu inatumiwa na programu nyingine</translation>
<translation id="2784449251446768092">Kudhibiti Mipangilio ya Chromium</translation>
<translation id="2798503587425057129">Hufungua Orodha ya Kusoma ya Chromium.</translation>
<translation id="28276745681323897">Unaweza <ph name="BEGIN_LINK" />kudhibiti data ya Chromium inayohifadhiwa<ph name="END_LINK" /> katika Akaunti yako ya Google.

Kwa mipangilio zaidi inayotumia data kuboresha hali yako ya utumiaji wa Chromium, nenda kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />Huduma za Google<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="2843571538056574338">Tumia Chromium ili Ujaze kiotomatiki</translation>
<translation id="2918709798697875261">Shirika lako linahitaji usiingie katika akaunti kwenye Chromium.</translation>
<translation id="2942241131342758843">Tumia Chromium kwa chaguomsingi kufungua viungo, kutafuta kwenye wijeti na kujaza manenosiri kiotomatiki katika programu zingine</translation>
<translation id="2977470724722393594">Chromium imesasishwa</translation>
<translation id="3044857325852340337">Umefuta data kwenye Chromium</translation>
<translation id="3049211156275642309">Maliza Kuweka Mipangilio ya Chromium</translation>
<translation id="3078941082359356771">{COUNT,plural, =1{Chromium inaweza kukusaidia kufuatilia kifurushi hiki kwenye Ukurasa Mpya wa Kichupo.}other{Chromium inaweza kukusaidia kufuatilia vifurushi hivi kwenye Ukurasa Mpya wa Kichupo.}}</translation>
<translation id="3102849287235003384">Ili uondoke kwenye akaunti yako ya Google katika tovuti zote, <ph name="BEGIN_LINK" />ondoka kwenye akaunti yako katika kivinjari cha Chromium<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="3219277919172823720">Tafuta Ukitumia Sauti kwenye Chromium</translation>
<translation id="328933489847748230">{count,plural, =1{Sasa inaonyesha dirisha 1 la Chromium}other{Sasa inaonyesha madirisha {count} ya Chromium}}</translation>
<translation id="3344973607274501920">Chromium imeshindwa kukagua manenosiri yako. Jaribu kuangalia muunganisho wako wa Intaneti.</translation>
<translation id="3366305173356742781">Data ya Chromium kwenye akaunti yako</translation>
<translation id="3387107508582892610">{THRESHOLD,plural, =1{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chromium kwa dakika {THRESHOLD}. Data hii inaweza kujumuisha historia na matukio ya kujaza kiotomatiki.}other{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chromium kwa dakika {THRESHOLD}. Data hii inaweza kujumuisha historia na matukio ya kujaza kiotomatiki.}}</translation>
<translation id="3472200483164753384">Haitumiki kwenye Chromium Canary (toleo la jaribio)</translation>
<translation id="347967311580159871">Kwa mipangilio zaidi inayotumia data kuboresha hali yako ya utumiaji wa Chromium, nenda kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />Huduma za Google<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="3512168799938877162">Nenosiri lako halikutumwa. Kagua muunganisho wako wa intaneti na uhakikishe umeingia katika akaunti ya Chromium. Kisha, jaribu tena.</translation>
<translation id="3567399274263440288">Ili unufaike zaidi na Chromium, ingia kwenye Chromium ukitumia Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="3639997914391704523">Chromium inaweza kukagua manenosiri yako unapoingia ukitumia Akaunti ya Google.</translation>
<translation id="3688710892786762883">Chromium itagundua namba za ufuatiliaji wa kifurushi kwenye tovuti unazotembelea na kukuonyesha taarifa za kifurushi kwenye ukurasa wa Kichupo Kipya. Data yako itatumwa kwa Google ili kutoa kipengele hiki na kuboresha Ununuzi kwa kila mtu.</translation>
<translation id="372658070733623520">Ili utumie na uhifadhi data ya Chromium katika Akaunti yako ya Google, thibitisha kuwa ni wewe.</translation>
<translation id="3728124580182886854">Unganisha Chromium na huduma nyingine za Google ili upate mapendeleo na madhumuni mengine</translation>
<translation id="3780779443901618967">Hukutahadharisha kuhusu tovuti hatari, hata zile ambazo hazikutambuliwa na Google hapo awali, kwa kuchambua data zaidi kutoka kwenye tovuti kuliko ulinzi wa kawaida. Unaweza kuchagua kuruka tahadhari za Chromium.</translation>
<translation id="3784369638459513223">Hufungua Kichupo Fiche Kipya cha Chromium.</translation>
<translation id="3805899903892079518">Chromium haina uwezo wa kufikia picha au video zako. Washa uwezo wa kufikia katika Mipangilio ya iOS &gt; Faragha &gt; Picha.</translation>
<translation id="3827545470516145620">Unapata ulinzi wa kawaida kwenye kifaa hiki</translation>
<translation id="3833326979834193417">Chromium hutekeleza kiotomatiki Ukaguzi wa Usalama kila siku ili kukulinda dhidi ya ufichuzi haramu wa data, tovuti zisizo salama na mengine. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Ukaguzi wa Usalama kwenye Mipangilio.</translation>
<translation id="3855938650519180865">Mapya katika Chromium</translation>
<translation id="3886689467633467988">Ingia katika tovuti hii na Chromium ili upate alamisho zako na zaidi kwenye vifaa vyako vyote.</translation>
<translation id="3904484643286601695">Unaweza kusasisha chaguo zako wakati wowote katika Mipangilio ya Chromium.</translation>
<translation id="3983291422281996849">Weka Chromium iwe kivinjari chako chaguomsingi ili ufuatilie bei kwa urahisi na upate maarifa ya bei ya vitu ambavyo ungependa kununua.</translation>
<translation id="4005283307739974863">Hufungua na Kufanya Ukaguzi wa Usalama kwenye Chromium.</translation>
<translation id="4043291146360695975">Manenosiri huhifadhiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri kwenye kifaa hiki tu.</translation>
<translation id="4099085513035183040">Haitumiki kwenye toleo la Beta la Chromium</translation>
<translation id="4106512142782407609">Umeingia katika akaunti ukitumia <ph name="EMAIL" />.

Data yako imesimbwa kwa njia fiche kwa kutumia kauli yako ya siri. Iweke ili utumie na kuhifadhi data ya Chromium kwenye Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="4118287192800900567">Kidokezo cha Chromium: Kuingia katika akaunti kwenye Chromium</translation>
<translation id="4195557071150719219">Angalia Vichupo vya Hivi Karibuni vya Chromium</translation>
<translation id="4200712796753248893">Kutumia Vitendo vya Chromium kwenye iOS</translation>
<translation id="420541179527342563">Ili uzime Hali ya Kufunga katika Chromium, izime kwenye iPad yako.</translation>
<translation id="4408912345039114853">Kufanya Ukaguzi wa Usalama kwenye Chromium</translation>
<translation id="4432744876818348753">Ingia katika akaunti ili unufaike zaidi na Chromium.</translation>
<translation id="4445228361214254027">Shirika lako limezima kipengele cha kutumia na kuhifadhi data ya Chromium kwenye Akaunti yako ya Google. Alamisho, manenosiri mapya na zaidi yatahifadhiwa tu katika kifaa hiki.</translation>
<translation id="4498832288620833153">Huweka URL zilizowekwa kwenye orodha yako ya kusoma katika Chromium.</translation>
<translation id="451793238785269934">Mipasho maalum tuliyokuandalia. Ikiwa ni pamoja na Habari, Spoti na Hali ya Hewa.</translation>
<translation id="452436063477828504">Hakikisha kuwa unaweza kutumia data ya Chromium katika Akaunti yako ya Google kila wakati</translation>
<translation id="4555020257205549924">Kipengele hiki kikiwashwa, Chromium itatafsiri kurasa zilizoandikwa kwa lugha nyingine kwa kutumia Google Tafsiri. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="4572441104543926904">Usimbaji fiche wa kauli ya siri haujumuishi anwani na njia za kulipa.

Ili ubadilishe mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK" />futa data ya Chromium kwenye akaunti yako<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="4576283463017113841">Hufungua Ukurasa wa Mipangilio ya Njia za Kulipa kwenye Chromium.</translation>
<translation id="458786853569524949">Sasa unaweza kutumia Chromium wakati wowote unapogusa viungo katika barua pepe, hati na programu zingine.</translation>
<translation id="459080529287102949">Tafuta Vipengele Vinavyoonekana kwenye Chromium</translation>
<translation id="4633738821577273991">Pia, pata Kipengele cha Kuvinjari Salama Kilichoboreshwa kwenye wasifu huu wa Chromium</translation>
<translation id="4638625642619341392">Pakua Chromium hapa.</translation>
<translation id="4654936625574199632">Ili kusaidia kuboresha programu hii, Chromium hutuma takwimu ya matumizi na ripoti ya kuacha kufanya kazi kwenda Google. <ph name="BEGIN_LINK" />Dhibiti<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="4675485352217495362">Futa Data ya Kuvinjari kwenye Chromium</translation>
<translation id="4681781466797808448">Washa kichanganuzi cha Chromium</translation>
<translation id="4736424910885271643">Akaunti yako inadhibitiwa na <ph name="HOSTED_DOMAIN" />, kwa hivyo data yako ya Chromium itafutwa kwenye kifaa hiki</translation>
<translation id="4790638144988730920">Endelea kutumia data ya Chromium katika Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="4828317641996116749">Chromium imeshindwa kukagua manenosiri yote. Jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="4904452304169763785">Arifa kuhusu matatizo yoyote ya faragha au ya usalama ambayo Chromium itatambua kuwa yanakuathiri.</translation>
<translation id="4962295957157529683">Kamilisha ulichokuwa ukifanya kwenye dirisha jingine ulilofungua la Chromium.</translation>
<translation id="4985291216379576555">Nje ya mtandao, Chromium imeshindwa kukagua kama kuna masasisho</translation>
<translation id="4996471330284142407">Fanya mengi zaidi kwa kutumia Chromium ambayo ni rahisi, salama na yenye kasi zaidi.</translation>
<translation id="4999538639245140991">Kwa sababu unaondoka kwenye akaunti inayodhibitiwa na <ph name="SIGNOUT_MANAGED_DOMAIN" />, data yako ya Chromium itafutwa kwenye kifaa hiki, lakini itasalia katika Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="5042011327527167688">Gusa “Angalia kwa kutumia Ramani za Google kwenye Chromium.”</translation>
<translation id="5044871537677053278">Chromium hutambua anwani na hutumia huduma ya Ramani za Google kukupatia maelekezo na taarifa za eneo husika.</translation>
<translation id="5048795749726991615">Ili upate manenosiri uliyohifadhi kwa urahisi katika programu zako zingine, tumia Chromium kwa ajili ya Kujaza Kiotomatiki</translation>
<translation id="5124429847818367226">Sasa unaweza kutumia Chromium wakati wowote unapovinjari au kugusa viungo kwenye ujumbe, hati na programu nyingine.</translation>
<translation id="5131565040785979529">Shirika lako, <ph name="DOMAIN" />, hudhibiti akaunti uliyotumia kuingia na jinsi Chromium inavyotumika.</translation>
<translation id="5146749061471423558">Weka Alamisho kwenye Chromium</translation>
<translation id="5171868502429358653">Ingia Katika Akaunti kwenye Chromium</translation>
<translation id="5203483872492817335">Fikia Chromium kwa haraka katika Sehemu Iliyopachikwa kwenye Skrini ya Kwanza ya iPad yako.</translation>
<translation id="5213683223491576284">Hufungua Kidhibiti cha Manenosiri kwenye Chromium.</translation>
<translation id="5224391634244552924">Hakuna manenosiri yaliyohifadhiwa. Chromium inaweza kukagua manenosiri yako ukiyahifadhi.</translation>
<translation id="5308226104666789935">Chromium imeshindwa kukagua kama kuna masasisho</translation>
<translation id="5311557153294205270">Huweka URL zinazowekwa kwenye alamisho zako katika Chromium.</translation>
<translation id="5396916991083608703">Ungependa Kuweka Chromium iwe Kivinjari chaguomsingi?</translation>
<translation id="5434562575369834882">Fungua Faraghani kwenye Chromium</translation>
<translation id="5453478652154926037">Chromium imeshindwa kukagua manenosiri yako.</translation>
<translation id="5521125884468363740">Ili uone vichupo vyako kwenye kifaa chochote unakotumia Chromium, ingia katika akaunti na uwashe kipengele cha kusawazisha</translation>
<translation id="5522297504975449419">Baadhi ya vipengele vya Chromium havitapatikana tena.</translation>
<translation id="5534584691915394889">Hii itatumika kuunda matukio kwenye Kalenda yako ya Apple kutoka kwenye Chromium na Lenzi ya Google.</translation>
<translation id="5571094606370987472">Hufungua Vichupo vya Hivi Karibuni kwenye Chromium.</translation>
<translation id="5603085937604338780">chromium</translation>
<translation id="5623083843656850677">Funga vichupo vyako fiche unapoondoka kwenye Chromium au kubadilisha na kutumia programu tofauti.</translation>
<translation id="5671188105328420281">Vidokezo vya Chromium</translation>
<translation id="5688047395118852662">Kadi hii hukuonyesha mapendekezo ya jinsi ya kunufaika zaidi na Chromium.</translation>
<translation id="5700709190537129682">Chromium imeshindwa kukagua manenosiri yako</translation>
<translation id="5777187867430702742">Ukurasa wa Chromium</translation>
<translation id="584239279770005676">Kidokezo cha Chromium: Kutumia Chromium kwa Chaguomsingi</translation>
<translation id="584550191241316896">Umeingia katika akaunti kwenye Chromium</translation>
<translation id="5889847953983052353">Inapokuwa imewashwa:
<ph name="BEGIN_INDENT" />  • Saidia kuboresha Chromium kwa ajili ya watu wanaoitumia kama wewe unavyoitumia.<ph name="END_INDENT" />

Mambo ya kuzingatia:
<ph name="BEGIN_INDENT" />  • Maelezo kuhusu matumizi yako ya Chromium hutumwa kwenda Google, lakini hayahusishwi na wewe.

  • Chromium inapoacha kufanya kazi, maelezo kuhusu tukio hilo la kuacha kufanya kazi huenda yakajumuisha baadhi ya taarifa binafsi.

  • Iwapo umesawazisha historia yako kwenye Akaunti yako Google, huenda vipimo vikajumuisha pia maelezo kuhusu URL unazotembelea.<ph name="END_INDENT" /></translation>
<translation id="593808800391107017">Pokea arifa kuhusu matatizo yoyote ya faragha au ya usalama ambayo Chromium itatambua kiotomatiki kuwa yanakuathiri.</translation>
<translation id="5945387852661427312">Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na <ph name="DOMAIN" /> na kumpa msimamizi wa kikoa hicho udhibiti wa data yako ya Chromium. Data yako ya Chromium itahusishwa na akaunti hii daima. Kuondoka kwenye Chromium kutafuta data yako kwenye kifaa hiki, lakini itaendelea kuhifadhiwa katika Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="5951593919357934226">Nufaika zaidi na Chromium.</translation>
<translation id="5983312940147103417">Boresha Chromium</translation>
<translation id="5985254578475526217">Ili upokee arifa kutoka Chromium, washa arifa katika Mipangilio yako ya iOS.</translation>
<translation id="6093744543579359059">Kudhibiti Manenosiri kwenye Chromium</translation>
<translation id="6104024151682120539">Fungua kwenye Chromium</translation>
<translation id="61109258320235597">Ili utumie na uhifadhi data ya Chromium katika Akaunti yako ya Google, weka kauli yako ya siri.</translation>
<translation id="6119647025869519954">Ili ufanye Chromium iwe kivinjari chako chaguomsingi:
1. Fungua Mipangilio
2. Gusa Programu ya Kivinjari Chaguomsingi
3. Chagua Chromium.</translation>
<translation id="6132149203299792222">Ingia katika akaunti ukitumia Akaunti yako ya Google ili usawazishe manenosiri yako, alamisho na zaidi.</translation>
<translation id="6154098560469640583">Tumia Chromium wakati wowote unapogusa viungo kwenye ujumbe, hati na programu nyingine.</translation>
<translation id="6170619162539716595">Ruhusu Chromium itumie Ramani za Google ili ikupe maelekezo na maelezo ya eneo kwenye anwani zilizotambuliwa.</translation>
<translation id="6175967839221456271">Tuma Chromium</translation>
<translation id="6197255575340902638">Ukificha "<ph name="MODULE_NAME" />", Chromium haitafuatilia tena kiotomatiki vifurushi vyako vya siku zijazo na itafuta data yako yote ya awali ya ufuatiliaji wa vifurushi.</translation>
<translation id="6247557882553405851">Kidhibiti cha Manenosiri cha Google</translation>
<translation id="6268381023930128611">Ungependa kuondoka kwenye Chromium?</translation>
<translation id="6324041800010509197">Tembelea Gridi ya Kichupo kwenye Chromium</translation>
<translation id="6325378625795868881">Tumia Chromium wakati wowote unapogusa viungo kwenye ujumbe na programu nyingine.</translation>
<translation id="632825460376924298">Ruhusu vidokezo vya kuingia katika akaunti kwenye Chromium</translation>
<translation id="6332129548244419716">Futa Data ya Kuvinjari kwenye Chromium.</translation>
<translation id="6337530241089703714">Chagua iwapo ungependa kufuta data yako ya Chromium kwenye kifaa hiki au kuihifadhi</translation>
<translation id="6383607155624074112">Fikia Chromium kwa haraka katika Sehemu Iliyopachikwa kwenye Skrini ya Kwanza</translation>
<translation id="6424492062988593837">Chromium imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.</translation>
<translation id="6433172051771630690">Vidokezo vya kunufaika zaidi kwenye Chromium.</translation>
<translation id="6502321914804101924">Umeondoka katika akaunti kwenye Chromium</translation>
<translation id="6563921047760808519">Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />jinsi Chromium inavyoweka data yako kuwa ya faragha<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="6728350288669261079">Hufungua Mipangilio kwenye Chromium.</translation>
<translation id="6752854822223394465">Shirika lako linaweka mipangilio ya Chromium...</translation>
<translation id="6794054469102824109">Hufungua Mchezo wa Dinosau wa Chromium.</translation>
<translation id="6820823224820483452">Chromium imeshindwa kukagua manenosiri yote. Jaribu tena kesho.</translation>
<translation id="6830362027989570433">Mwonekano wa Kipengele cha Kujaza Kiotomatiki cha Chromium Kilichopanuliwa</translation>
<translation id="6852799557929001644">Fikia manenosiri yako ya Chromium na zaidi kwenye programu nyingine katika kifaa hiki.</translation>
<translation id="6887138405044152640">Ili utume kichupo hiki kwenye kifaa kingine, ingia katika akaunti kwenye Chromium katika kifaa hicho.</translation>
<translation id="6911341667534646387">Endelea kutumia data ya Chromium katika Akaunti yako ya Google</translation>
<translation id="7006920032187763988">Unaweza kutumia manenosiri uliyohifadhi kwenye Kidhibiti cha Manenosiri katika programu zingine kwenye iPad yako.</translation>
<translation id="7018284295775193585">Imeshindwa kusasisha Chromium</translation>
<translation id="7045244423563602563">Weka Mipangilio ya Chromium Upendavyo</translation>
<translation id="7055269218854630176">Shirika lako, <ph name="DOMAIN" />, linasimamia akaunti uliyotumia kuingia na jinsi Chromium inavyotumika. Msimamizi wako anaweza kuweka mipangilio au kuzuia vipengele kadhaa.</translation>
<translation id="7099326575020694068">Chromium imeshindwa kutumia kamera yako katika hali ya Mwonekano wa Madirisha Mawili</translation>
<translation id="7163483974919055112">Tafuta Vipengele Vinavyoonekana kwenye Chromium.</translation>
<translation id="7165402419892018581">Chagua Chromium ili Ujaze Kiotomatiki</translation>
<translation id="7175400662502680481">Nenosiri lako limefichuliwa katika tukio la ufichuzi haramu wa data. Kidhibiti cha Manenosiri kinapendekeza ulibadilishe sasa hivi.</translation>
<translation id="7185731475720473450">Njia za kulipa na anwani hazitasimbwa kwa njia fiche. Historia ya kuvinjari kwenye Chromium haitasawazishwa.

Mtu aliye na kauli yako ya siri pekee ndiye anaweza kusoma data yako iliyosimbwa kwa njia fiche. Kauli ya siri haitumwi kwa au kuhifadhiwa na Google. Ukisahau kauli yako ya siri au ukitaka kubadilisha mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK" />futa data ya Chromium kwenye akaunti yako<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="7192111075364461693">Kwa sasa arifa za Chromium zimezimwa kwenye mipangilio ya kifaa chako.</translation>
<translation id="7222001353246886083">Kutatufa ${searchPhrase} kwenye Chromium</translation>
<translation id="7228180817326917122">Kidokezo cha Chromium: Chagua nafasi ya sehemu ya anwani</translation>
<translation id="725427773388857052">Chromium inaweza kukusaidia ulinde akaunti yako dhidi ya ufichuzi haramu wa data, tovuti ambazo si salama na zaidi.</translation>
<translation id="7269362888766543920">Baadhi ya programu jalizi husababisha Chromium iache kufanya kazi. Tafadhali jaribu kuziondoa.</translation>
<translation id="7285031092584344905">Fikia manenosiri yako ya Chromium na zaidi kwenye programu nyingine.</translation>
<translation id="7337881442233988129">Chromium</translation>
<translation id="7357211569052832586">Data uliyochagua imeondolewa kwenye Chromium na kwenye vifaa vilivyosawazishwa. Huenda Akaunti yako ya Google ina aina nyingine za historia ya mambo uliyovinjari kama vile mambo uliyotafuta na shughuli kutoka huduma nyingine za Google katika history.google.com.</translation>
<translation id="7387082980875012885">Fungua Kichupo Kipya kwenye Chromium</translation>
<translation id="7395825497086981028">Nenosiri lako litahifadhiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri kwa ajili ya <ph name="EMAIL" />.</translation>
<translation id="7400689562045506105">Tumia Chromium Kila mahali</translation>
<translation id="7523464085759699266">Washa kipengele cha “Funga Vichupo Fiche Unapofunga Chromium.”</translation>
<translation id="7531461704633548377">Kutoka Chromium</translation>
<translation id="7674213385180944843">Fungua Mipangilio &gt; Faragha &gt; Kamera &gt; Chromium na uwashe kamera.</translation>
<translation id="7710137812207066069">Hufungua Kichupo Kipya kwenye Chromium.</translation>
<translation id="7733418656985455268">Kidokezo cha Chromium: Tafuta kwa kutumia Lenzi</translation>
<translation id="7747820849741499258">Kutafuta kwenye Chromium</translation>
<translation id="7763454117143368771">Tumia Chromium kama kivinjari chako chaguomsingi ili uendelee kulindwa dhidi ya tovuti hatari na uhakikishe manenosiri yako ni salama</translation>
<translation id="78025249032851484">Toleo lako la Chromium limepitwa na wakati.</translation>
<translation id="7859018312476869945">Unapoandika kwenye sehemu ya anwani au kisanduku cha kutafutia, Chromium hutuma unachokiandika kwenye mtambo wako chaguomsingi wa kutafuta ili upate mapendekezo bora. Kipengele hiki huwa kimezimwa katika Hali fiche.</translation>
<translation id="7890287942691234100">Anza kutumia kichanganuzi cha Chromium</translation>
<translation id="7905064834449738336">Unapotumia nenosiri, Chromium hukutahadharisha iwapo limechapishwa mtandaoni. Wakati inafanya hivyo, majina ya mtumiaji na manenosiri yako husimbwa kwa njia fiche, kwa hivyo hayawezi kusomwa na mtu mwingine, ikiwemo Google.</translation>
<translation id="7911732829884437264">Kutumia Chromium Kwa Chaguomsingi</translation>
<translation id="7928628054454574139">Tumia Chromium kufungua viungo vyovyote unavyogusa katika programu zingine</translation>
<translation id="7931842119211730154">Funga Vichupo Fiche Unapofunga Chromium</translation>
<translation id="7934404985878918282">Angalia Orodha ya Kusoma ya Chromium</translation>
<translation id="7947765692209663835">Fikia Chromium kwa haraka katika Sehemu Iliyopachikwa kwenye Skrini ya Kwanza ya iPhone yako.</translation>
<translation id="7971753607796745700">Weka Kipengee cha Orodha ya Kusoma kwenye Chromium</translation>
<translation id="7980860476903281594">Chromium hushiriki maelezo ya mahali ulipo na tovuti unazoruhusu.</translation>
<translation id="7994322153108931467">Ili upate vidokezo muhimu vya Chromium, washa arifa kwenye mipangilio yako ya iOS.</translation>
<translation id="800195749539500647">Nufaika zaidi na Chromium</translation>
<translation id="8013573822802650211">Ili uone vichupo vyako kwenye kifaa chochote unakotumia Chromium, ingia katika akaunti ukitumia vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="8071041515667087705">Nenda kwenye Mipangilio ya Chromium.</translation>
<translation id="8104697640054703121">Pata usalama thabiti wa Chromium dhidi ya tovuti hatari</translation>
<translation id="8115308261377517697">Weka Chromium iwe Kivinjari chako Chaguomsingi</translation>
<translation id="8197822717502700527">Sasa utanufaika zaidi na Chromium kwenye kifaa chako.</translation>
<translation id="8234150821523419638">Fungua Menyu ya Chromium</translation>
<translation id="8235427517854598594">Ungependa Kufanya Chromium Iwe Kivinjari Chako Chaguomsingi?</translation>
<translation id="8240981428553046115">Chromium imeshindwa kukagua kama kuna masasisho. Jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="8254729934443216898">Gundua vipengele vipya vinavyokusaidia kupata manufaa zaidi kwenye Chromium.</translation>
<translation id="829047622686389424">Mipasho maalum tuliyokuandalia.</translation>
<translation id="8303579360494576778">Kudhibiti Njia za Kulipa kwenye Chromium</translation>
<translation id="830951810931292870">Hufungua URL zilizowekwa kwenye Chromium katika Hali fiche.</translation>
<translation id="8386869251364507178">Vitendo vya Chromium</translation>
<translation id="8409374867500149834">Una ulinzi thabiti zaidi wa Chromium dhidi ya tovuti hatari</translation>
<translation id="8473874987831035139">Kidokezo cha Chromium: Weka Chromium kwenye Sehemu Iliyopachikwa</translation>
<translation id="8502918057530111907">Tumia Chromium kwa Chaguomsingi ili Upate Maarifa ya Bei kwa Urahisi</translation>
<translation id="8543509361021925846">{THRESHOLD,plural, =1{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chromium kwa dakika {THRESHOLD}. Data iliyohifadhiwa kwenye kifaa hiki pekee ulipokuwa umeingia katika akaunti itafutwa. Data hii inaweza kujumuisha historia na manenosiri.}other{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chromium kwa dakika {THRESHOLD}. Data iliyohifadhiwa kwenye kifaa hiki pekee ulipokuwa umeingia katika akaunti itafutwa. Data hii inaweza kujumuisha historia na manenosiri.}}</translation>
<translation id="858114650497379505">Unaweza kutumia manenosiri uliyohifadhi kwenye Kidhibiti cha Manenosiri katika programu zingine kwenye iPhone yako.</translation>
<translation id="8586442755830160949">Hakimiliki <ph name="YEAR" /> Wasanidi wa Chromium. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="865600487977764604">Hulinda usalama wako kwenye Chromium na huenda ikatumiwa kuboresha usalama wako kwenye programu nyingine za Google unapokuwa umeingia katika akaunti.</translation>
<translation id="8663480472502753423">Hakikisha Chromium imesasishwa kila wakati</translation>
<translation id="8685813584220679697">Ingia katika akaunti kwenye tovuti hii na kwenye Chromium.</translation>
<translation id="8730503818204408000">Hufungua Mipangilio ya Chromium ili kuweka Chromium iwe Kivinjari Chaguomsingi.</translation>
<translation id="8742300022028858275">Fungua Kichupo Changu Kipya kwenye Chromium</translation>
<translation id="8754966941001340678">Chromium inapendekeza ulinzi ulioboreshwa</translation>
<translation id="8759037115129007407">Mwanafamilia hawezi kupokea manenosiri sasa hivi. Mwambie asasishe Chromium na asawazishe manenosiri yake. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="8776843108004031667">Akaunti hii na data yoyote ambayo haijahifadhiwa itaondolewa kwenye Chromium.</translation>
<translation id="8826789549860004832">Nufaika zaidi na Chromium kwa kuendelea kuweka mipangilio ya kivinjari chako.</translation>
<translation id="88376265765385899">Hufungua alamisho za Chromium.</translation>
<translation id="8860548555286245440">Fungua URL kwenye Chromium katika Hali ya Faraghani</translation>
<translation id="8866191443434488382">Chromium itagundua namba za ufuatiliaji kwenye tovuti unazotembelea na kukuonyesha taarifa za kifurushi kwenye ukurasa wa Kichupo Kipya. Namba ya ufuatiliaji wa kifurushi na jina la tovuti zitatumwa kwenye Chromium ili kutoa kipengele hiki na kuboresha vipengele vya ununuzi kwa kila mtu. Unaweza kusasisha mchakato huu wakati wowote katika <ph name="BEGIN_LINK" />Mipangilio ya Ufuatiliaji wa Kifurushi<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="8909995017390087892">Chromium mahususi kwa iOS</translation>
<translation id="8924617840944134898">Kufungua Kichupo Fiche cha Chromium</translation>
<translation id="894437814105052438">Ukiondoka katika akaunti, Chromium haitasawazisha data yoyote mpya kwenye Akaunti yako ya Google. Data iliyosawazishwa hapo awali husalia kwenye akaunti.</translation>
<translation id="8950326149985259075">{THRESHOLD,plural, =1{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chromium kwa dakika {THRESHOLD}}other{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chromium kwa dakika {THRESHOLD}}}</translation>
<translation id="8963279154877372067">Ruhusu arifa za Chromium ili upate arifa kuhusu kupungua kwa bei</translation>
<translation id="900560297598578021">Umeingia katika akaunti ukitumia <ph name="EMAIL" />.

Data yako ilisimbwa kwa njia fiche kwa kutumia kauli ya siri <ph name="TIME" />. Iweke ili utumie na kuhifadhi data ya Chromium kwenye Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="9022552996538154597">Ingia kwenye Chromium</translation>
<translation id="9031260906956926157">Baadhi ya data yako ya Chromium bado haijahifadhiwa kwenye Akaunti yako ya Google.
Jaribu kusubiri kwa dakika chache kabla ya kuondoka kwenye akaunti. Ukiondoka kwenye akaunti sasa, data hii itafutwa.</translation>
<translation id="9050790730841755540">Tumia Chromium wakati wowote unapogusa viungo kwenye programu nyingine.</translation>
<translation id="9057082013386654559">Tumia Chromium kwa Chaguomsingi kwenye iPad</translation>
<translation id="9059693977935746710">Hutahitaji kukumbuka nenosiri hili. Litahifadhiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri kwa ajili ya <ph name="EMAIL" /></translation>
<translation id="9089354809943900324">Chromium imepitwa na wakati</translation>
<translation id="9110075932708282655">Tumia Chromium kwa Chaguomsingi</translation>
<translation id="9152995302810511799">Kidokezo cha Chromium: Pata ulinzi thabiti zaidi wa Chromium</translation>
<translation id="921174536258924340">Chromium imeshindwa kukagua manenosiri yote. Jaribu tena kesho au <ph name="BEGIN_LINK" />ukague manenosiri katika Akaunti yako ya Google.<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="981812233959540767">Cheza Mchezo wa Dinosau wa Chromium</translation>
<translation id="985602178874221306">Waandishi wa Chromium</translation>
</translationbundle>