chromium/remoting/resources/remoting_strings_sw.xtb

<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1002108253973310084">Toleo lisilooana la itifaki liligunduliwa. Tafadhali hakikisha kuwa umesakinisha toleo jipya la programu kwenye kompyuta zote mbili na ujaribu tena.</translation>
<translation id="1008557486741366299">Si Sasa</translation>
<translation id="1201402288615127009">Endelea</translation>
<translation id="1297009705180977556">Hitilafu imetokea wakati wa kuunganisha kwenye <ph name="HOSTNAME" /></translation>
<translation id="1450760146488584666">Kipengele kilichoombwa hakipo.</translation>
<translation id="1480046233931937785">Mikopo</translation>
<translation id="1520828917794284345">Badilisha ukubwa wa eneo-kazi ili litoshe</translation>
<translation id="1546934824884762070">Hitilafu isiyotarajiwa imetokea. Tafadhali ripoti tatizo hili kwa wasanidi programu.</translation>
<translation id="1697532407822776718">Mko tayari nyote!</translation>
<translation id="1742469581923031760">Inaunganisha...</translation>
<translation id="177040763384871009">Ili uruhusu viungo vinavyobofywa kwenye kifaa cha mbali vifunguliwe kwenye kivinjari teja, unahitaji kubadilisha kivinjari cha mfumo kiwe "<ph name="URL_FORWARDER_NAME" />".</translation>
<translation id="177096447311351977">IP ya Kituo cha kiteja: <ph name="CLIENT_GAIA_IDENTIFIER" /> ip='<ph name="CLIENT_IP_ADDRESS_AND_PORT" />' ip ya mpangishi='<ph name="HOST_IP_ADDRESS_AND_PORT" />' kituo='<ph name="CHANNEL_TYPE" />' muunganisho='<ph name="CONNECTION_TYPE" />'.</translation>
<translation id="1897488610212723051">Futa</translation>
<translation id="2009755455353575666">Muunganisho haujafaulu</translation>
<translation id="2038229918502634450">Pangishi inazima halafu iwashe, ili izingatie mabadiliko ya sera.</translation>
<translation id="2078880767960296260">Mchakato wa Seva Pangishi</translation>
<translation id="20876857123010370">Hali ya padi ya kusogeza</translation>
<translation id="2198363917176605566">Ili utumie <ph name="PRODUCT_NAME" />, unahitaji kutoa ruhusa ya 'Kurekodi Skrini' ili maudhui ya skrini kwenye Mac hii yaweze kutumwa kwenye mashine ya mbali.

Ili utoe ruhusa, bofya '<ph name="BUTTON_NAME" />' hapa chini ili ufungue kijisehemu cha mapendeleo ya 'Kurekodi Skrini' kisha chagua kisanduku kilicho karibu na '<ph name="SERVICE_SCRIPT_NAME" />'.

Ikiwa '<ph name="SERVICE_SCRIPT_NAME" />' tayari imechaguliwa, batilisha uteuzi kisha uichague tena.</translation>
<translation id="225614027745146050">Karibu</translation>
<translation id="2320166752086256636">Ficha kibodi</translation>
<translation id="2329392777730037872">Imeshindwa kufungua <ph name="URL" /> kwenye kiteja.</translation>
<translation id="2359808026110333948">Endelea</translation>
<translation id="2366718077645204424">Haiwezi kufikia seva pangishi. Labda hii ni kwa sababu ya usanidi wa mtandao unaotumia.</translation>
<translation id="2504109125669302160">Idhinisha 'Ufikivu' kwenye <ph name="PRODUCT_NAME" /></translation>
<translation id="2509394361235492552">Imeunganisha kwenye <ph name="HOSTNAME" /></translation>
<translation id="2540992418118313681">Ungependa kushiriki kompyuta hii kwa mtumiaji mwingine ili kuangalia na kudhibiti?</translation>
<translation id="2579271889603567289">Kompyuta pangishi imeacha kufanya kazi au imeshindwa kufunguka.</translation>
<translation id="2599300881200251572">Huduma hii inawezesha miunganisho inayoingia kutoka kwa viteja vya Kompyuta za Mbali za Chrome</translation>
<translation id="2647232381348739934">Huduma ya Chromoting</translation>
<translation id="2676780859508944670">Inafanya kaziā€¦</translation>
<translation id="2699970397166997657">Chromoting</translation>
<translation id="2758123043070977469">Hitilafu imetokea wakati wa kuthibitisha, tafadhali ingia katika akaunti tena.</translation>
<translation id="2803375539583399270">Weka PIN</translation>
<translation id="2919669478609886916">Kwa sasa unashiriki mashine hii na mtumiaji mwengine. Unataka kuendelea kushiriki?</translation>
<translation id="2939145106548231838">Thibitisha ili upangishe</translation>
<translation id="3027681561976217984">Hali ya kugusa</translation>
<translation id="3106379468611574572">Kompyuta ya mbali haikubali maombi ya muunganisho. Tafadhali thibitisha kuwa iko kwenye mtandao na ujaribu tena.</translation>
<translation id="3150823315463303127">Pangishi haijafaulu kusoma sera.</translation>
<translation id="3171922709365450819">Kifaa hiki hakitumiki kwenye kiteja hiki kwa sababu kinahitaji uthibitishaji wa mtu au kampuni nyingine.</translation>
<translation id="3197730452537982411">Kompyuta ya Mbali</translation>
<translation id="324272851072175193">Tuma maelezo haya kupitia barua pepe</translation>
<translation id="3305934114213025800"><ph name="PRODUCT_NAME" /> ingependa kufanya mabadiliko.</translation>
<translation id="3339299787263251426">Fikia kompyuta yako kwa njia salama kwenye Intaneti</translation>
<translation id="3385242214819933234">Mmiliki wa seva pangishi si sahihi.</translation>
<translation id="3423542133075182604">Mchakato wa Mbali wa Ufunguo wa Usalama</translation>
<translation id="3581045510967524389">Haikuweza kuunganisha kwenye mtandao. Tafadhali angalia kuwa kifaa chako kipo mtandaoni.</translation>
<translation id="3596628256176442606">Huduma hii inawasha miunganisho inayoingia kutoka kwenye viteja vya Chromoting.</translation>
<translation id="3695446226812920698">Pata maelezo</translation>
<translation id="3776024066357219166">Kipindi chako cha Eneo-kazi la Mbali la Chrome kimekamilika.</translation>
<translation id="3858860766373142691">Jina</translation>
<translation id="3897092660631435901">Menyu</translation>
<translation id="3905196214175737742">Kikoa cha mmiliki wa seva pangishi si sahihi.</translation>
<translation id="3931191050278863510">Mpangishi amesimamishwa.</translation>
<translation id="3950820424414687140">Ingia katika akaunti</translation>
<translation id="405887016757208221">Kompyuta ya mbali imeshindwa kuanzisha kipindi. Tatizo likiendelea tafadhali jaribu kuweka mipangilio ya seva pangishi tena.</translation>
<translation id="4060747889721220580">Pakua Faili</translation>
<translation id="4126409073460786861">Baada ya kukamilisha shughuli ya kuweka mipangilio, onyesha upya ukurasa huu na utaweza kufikia kompyuta kwa kuchagua kifaa chako na kuweka PIN</translation>
<translation id="4145029455188493639">Umeingia katika akaunti ukitumia <ph name="EMAIL_ADDRESS" />.</translation>
<translation id="4155497795971509630">Baadhi ya vipengele vinavyohitajika havipo. Tafadhali hakikisha kuwa umesakinisha toleo jipya la programu na ujaribu tena.</translation>
<translation id="4176825807642096119">Msimbo wa kufikia</translation>
<translation id="4227991223508142681">Utoaji Data wa Seva Pangishi</translation>
<translation id="4240294130679914010">Kiondoa Seva Pangishi ya Chromoting</translation>
<translation id="4257751272692708833">Kisambazaji cha URL cha <ph name="PRODUCT_NAME" /></translation>
<translation id="4277736576214464567">Msimbo wa kufikia si sahihi. Tafadhali jaribu tena.</translation>
<translation id="4281844954008187215">Sheria na Masharti</translation>
<translation id="4405930547258349619">Mkataba Kuu</translation>
<translation id="443560535555262820">Fungua Mapendeleo ya Ufikivu</translation>
<translation id="4450893287417543264">Usionyeshe tena</translation>
<translation id="4513946894732546136">Mwitiko</translation>
<translation id="4563926062592110512">Kiteja kimeondolewa: <ph name="CLIENT_USERNAME" />.</translation>
<translation id="4618411825115957973">Mipangilio ya <ph name="URL_FORWARDER_NAME" /> haijawekwa kwa usahihi. Tafadhali chagua kivinjari chaguomsingi tofauti kisha uwashe kipengele cha kusambaza URL tena.</translation>
<translation id="4635770493235256822">Vifaa vya mbali</translation>
<translation id="4660011489602794167">Onyesha kibodi</translation>
<translation id="4703799847237267011">Kipindi chako cha Chromoting kimekamilika.</translation>
<translation id="4741792197137897469">Uidhinishaji haujafaulu. Tafadhali ingia kwenye Chrome tena.</translation>
<translation id="4784508858340177375">Seva ya X imeacha kufanya kazi au imeshindwa kufunguka.</translation>
<translation id="4798680868612952294">Chaguo za kipanya</translation>
<translation id="4804818685124855865">Tenganisha</translation>
<translation id="4808503597364150972">Tafadhali ingiza PIN yako ya <ph name="HOSTNAME" />.</translation>
<translation id="4812684235631257312">Mpangishi</translation>
<translation id="4867841927763172006">Tuma PrtScn</translation>
<translation id="4974476491460646149">Muunganisho wa <ph name="HOSTNAME" /> umefungwa</translation>
<translation id="4985296110227979402">Kwanza unahitaji kuwekea kompyuta yako mipangilio kwa ajili ya ufikiaji wa mbali</translation>
<translation id="4987330545941822761">Programu ya Chrome ya Ufikiaji wa Kompyuta kutoka Mbali imeshindwa kubaini kivinjari cha kufungua URL kwenye kifaa hiki. Tafadhali kichague kwenye orodha iliyo hapo chini.</translation>
<translation id="5064360042339518108"><ph name="HOSTNAME" /> (nje ya mtandao)</translation>
<translation id="507204348399810022">Una uhakika ungependa kuzima miunganisho ya mbali kwenye <ph name="HOSTNAME" />?</translation>
<translation id="5170982930780719864">Kitambulisho cha seva pangishi si sahihi.</translation>
<translation id="5204575267916639804">Maswali Yanayoulizwa Sana</translation>
<translation id="5222676887888702881">Ondoka</translation>
<translation id="5234764350956374838">Ondoa</translation>
<translation id="5308380583665731573">Unganisha</translation>
<translation id="533625276787323658">Hakuna kompyuta ya kuunganishwa</translation>
<translation id="5397086374758643919">Kiondoa Seva Pangishi ya Kompyuta ya Mbali cha Chrome</translation>
<translation id="5419418238395129586">Mara ya mwisho kuwa mtandaoni: <ph name="DATE" /></translation>
<translation id="544077782045763683">Pangishi imezima.</translation>
<translation id="5601503069213153581">PIN</translation>
<translation id="5690427481109656848">Google LLC</translation>
<translation id="5708869785009007625">Kwa sasa kompyuta yako inashirikiwa na <ph name="USER" />.</translation>
<translation id="579702532610384533">Unganisha upya</translation>
<translation id="5810269635982033450">Skrini inafanya kazi kama padi ya kusogeza</translation>
<translation id="5823554426827907568"><ph name="CLIENT_USERNAME" /> ameomba idhini ya kuona skrini yako na kudhibiti kibodi na kipanya chako. Bonyeza ''<ph name="IDS_SHARE_CONFIRM_DIALOG_DECLINE" />'' ikiwa hukutarajia ombi hili. La sivyo, chagua ''<ph name="IDS_SHARE_CONFIRM_DIALOG_CONFIRM" />'' ili uruhusu muunganisho utakapokuwa tayari.</translation>
<translation id="5823658491130719298">Kwenye kompyuta ambayo ungependa kufikia kutoka mbali, fungua Chrome kisha ufungue <ph name="INSTALLATION_LINK" /></translation>
<translation id="5841343754884244200">Onyesha chaguo</translation>
<translation id="6033507038939587647">Chaguo za kibodi</translation>
<translation id="6040143037577758943">Funga</translation>
<translation id="6062854958530969723">Seva pangishi haikufaulu kuanzisha.</translation>
<translation id="6099500228377758828">Huduma ya Kompyuta ya Mbali ya Chrome</translation>
<translation id="6122191549521593678">Mtandaoni</translation>
<translation id="6178645564515549384">Mpangishi wa ujumbe halisi kwa usaidizi wa mbali</translation>
<translation id="618120821413932081">Sasisha ubora wa mwonekano wa skrini ya mbali ili ilingane na dirisha</translation>
<translation id="6223301979382383752">Fungua Mapendeleo ya Kurekodi Skrini</translation>
<translation id="6284412385303060032">Seva pangishi inayotumika kwenye skrini ya dashibodi imezima ili kutumia hali ya pazia kwa kubadilisha hadi seva pangishi inayotumika katika kipindi mahususi cha mtumiaji.</translation>
<translation id="6542902059648396432">Ripoti tatizo...</translation>
<translation id="6583902294974160967">Usaidizi</translation>
<translation id="6612717000975622067">Tuma Ctrl-Alt-Del</translation>
<translation id="6654753848497929428">Shiriki</translation>
<translation id="677755392401385740">Seva pangishi ya mtumiaji: <ph name="HOST_USERNAME" /> Imeanza.</translation>
<translation id="6902524959760471898">Programu ya kusaidia kufungua URL kwenye programu teja ya <ph name="PRODUCT_NAME" /></translation>
<translation id="6939719207673461467">Onyesha/ficha kibodi.</translation>
<translation id="6963936880795878952">Miunganisho ya kompyuta ya mbali imezuiwa kwa muda kwa sababu mtu fulani alikuwa akijaribu kuifikia kwa kutumia PIN isiyo sahihi. Tafadhali jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="6965382102122355670">Sawa</translation>
<translation id="6985691951107243942">Una uhakika kuwa unataka kufunga miunganisho ya mbali kwa <ph name="HOSTNAME" />? Ukibadilisha nia, utahitajika kutembelea kompyuta hiyo ili uwashe miunganisho upya.</translation>
<translation id="7019153418965365059">Hitilafu ya seva pangishi isiyotambulika: <ph name="HOST_OFFLINE_REASON" />.</translation>
<translation id="701976023053394610">Usaidizi wa Mbali</translation>
<translation id="7026930240735156896">Fuata maelekezo ya kuweka mipangilio ya kompyuta yako kwa ajili ya ufikiaji wa mbali</translation>
<translation id="7067321367069083429">Skrini inafanya kazi kama skrini ya kugusa</translation>
<translation id="7116737094673640201">Karibu kwenye Programu ya Chrome ya Ufikiaji wa Kompyuta kutoka Mbali</translation>
<translation id="7144878232160441200">Jaribu tena</translation>
<translation id="7312846573060934304">Seva pangishi iko nje ya mtandao.</translation>
<translation id="7319983568955948908">Acha Kushiriki</translation>
<translation id="7359298090707901886">Kivinjari ulichokichagua hakiwezi kutumiwa kufungua URL kwenye mashine hii.</translation>
<translation id="7401733114166276557">Eneo-kazi la Mbali la Chrome</translation>
<translation id="7434397035092923453">Kiteja kimenyimwa idhini ya kufikia: <ph name="CLIENT_USERNAME" />.</translation>
<translation id="7444276978508498879">Kiteja kimeunganishwa: <ph name="CLIENT_USERNAME" />.</translation>
<translation id="7526139040829362392">Badilisha akaunti</translation>
<translation id="7535110896613603182">Fungua Mipangilio ya Programu Chaguomsingi</translation>
<translation id="7628469622942688817">Kumbuka PIN yangu kwenye kifaa hiki.</translation>
<translation id="7649070708921625228">Usaidizi</translation>
<translation id="7658239707568436148">Ghairi</translation>
<translation id="7665369617277396874">Ongeza akaunti</translation>
<translation id="7678209621226490279">Isalie Kushoto</translation>
<translation id="7693372326588366043">Onyesha upya orodha ya seva pangishi</translation>
<translation id="7714222945760997814">Ripoti tatizo hili</translation>
<translation id="7868137160098754906">Tafadhali weka PIN yako ya kompyuta ya mbali.</translation>
<translation id="7881455334687220899">Hakimiliki 2024 Waandishi wa Chromium. Haki Zote Zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="7895403300744144251">Sera za faragha kuhusu kompyuta ya mbali haziruhusu miunganisho kutoka akaunti yako.</translation>
<translation id="7936528439960309876">Isalie Kulia</translation>
<translation id="7970576581263377361">Uidhinishaji haujafaulu. Tafadhali ingia kwenye Chromium tena.</translation>
<translation id="7981525049612125370">Kipindi cha mbali kimekwisha muda.</translation>
<translation id="8038111231936746805">(chaguomsingi)</translation>
<translation id="8041089156583427627">Tuma Maoni</translation>
<translation id="8060029310790625334">Kituo cha Usaidizi</translation>
<translation id="806699900641041263">Inaunganisha kwenye <ph name="HOSTNAME" /></translation>
<translation id="8073845705237259513">Ili kutumia Chrome ya Kompyuta ya Mbali, itabidi uongeze Akaunti ya Google kwenye kifaa chako.</translation>
<translation id="809687642899217504">Kompyuta Zangu</translation>
<translation id="8116630183974937060">Hitilafu ya mtandao imetokea. Tafadhali hakikisha kwamba kifaa chako kipo mtandoani na ujaribu tena.</translation>
<translation id="8295077433896346116">Ili utumie <ph name="PRODUCT_NAME" />, unahitaji kutoa ruhusa ya 'Ufikivu' ili maudhui kutoka kwenye skrini ya mbali yaweze kuwekwa kwenye Mac hii.

Ili utoe ruhusa hii, bofya '<ph name="BUTTON_NAME" />' hapa chini. Kwenye kijisehemu cha mapendeleo ya 'Ufikivu' kinachofunguka, chagua kisanduku kilicho karibu na '<ph name="SERVICE_SCRIPT_NAME" />'.

Ikiwa '<ph name="SERVICE_SCRIPT_NAME" />' tayari imechaguliwa, batilisha uteuzi kisha uichague tena.</translation>
<translation id="8305209735512572429">Mchakato wa Kuthibitisha Wavuti Kutoka Mbali</translation>
<translation id="8383794970363966105">Ili Kutumia Chrome ya mbali, itabidi uongeze Akaunti ya Google kwenye kifaa chako.</translation>
<translation id="8386846956409881180">Seva pangishi imesanidiwa pamoja na kitambulisho cha OAuth ambacho si sahihi.</translation>
<translation id="8397385476380433240">Ipe <ph name="PRODUCT_NAME" /> ruhusa</translation>
<translation id="8406498562923498210">Chagua kipindi cha uzinduzi katika mazingira yako ya Programu ya Chrome ya Ufikiaji wa Kompyuta kutoka Mbali. (Kumbuka kwamba huenda baadhi ya aina za vipindi haziwezi kutekelezwa katika Programu ya Chrome ya Ufikiaji wa Kompyuta kutoka Mbali na kwenye dashibodi ya kifaa kwa wakati mmoja.)</translation>
<translation id="8428213095426709021">Mipangilio</translation>
<translation id="8445362773033888690">Angalia katika Duka la Google Play</translation>
<translation id="8509907436388546015">Mchakato wa Muingiliano wa Eneo-kazi</translation>
<translation id="8513093439376855948">Mpangishi wa ujumbe halisi kwa usimamizi wa mpangishi wa mbali</translation>
<translation id="8525306231823319788">Skrini nzima</translation>
<translation id="858006550102277544">Maoni</translation>
<translation id="8743328882720071828">Ungependa kuruhusu <ph name="CLIENT_USERNAME" /> aone na adhibiti kompyuta yako?</translation>
<translation id="8747048596626351634">Kipindi kiliacha kufanya kazi au kilishindwa kuanza. Ikiwa ~/.chrome-remote-desktop-session iko kwenye kompyuta yako ya mbali, hakikisha kwamba inaanza kutekeleza mchakato kwenye skrini utakaochukua muda mrefu kama vile kidhibiti cha dirisha au mazingira ya eneo kazi.</translation>
<translation id="8804164990146287819">Sera ya Faragha</translation>
<translation id="8906511416443321782">Idhini ya kufikia maikrofoni inahitajika ili sauti inaswe na itiririshwe kwenye Programu ya kiteja ya Chrome ya Ufikiaji wa Kompyuta kutoka Mbali.</translation>
<translation id="9042277333359847053">Hakimiliki 2024 Google LLC. Haki Zote Zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="9111855907838866522">Umeunganishwa kwenye kifaa cha mbali. Ili ufungue menyu, tafadhali gusa skrini ukitumia vidole vinne.</translation>
<translation id="9126115402994542723">Usiulize PIN tena unapounganisha kwenye seva pangishi kutoka kwenye kifaa hiki.</translation>
<translation id="916856682307586697">Anzisha XSession chaguomsingi</translation>
<translation id="9187628920394877737">Ipe <ph name="PRODUCT_NAME" /> idhinisha ya 'Kurekodi Skrini'</translation>
<translation id="9213184081240281106">Usanidi wa seva pangishi si sahihi.</translation>
<translation id="981121421437150478">Nje ya mtandao</translation>
<translation id="985602178874221306">Waandishi wa Chromium</translation>
<translation id="992215271654996353"><ph name="HOSTNAME" /> (mara ya mwisho mtandaoni <ph name="DATE_OR_TIME" />)</translation>
</translationbundle>