chromium/ui/accessibility/extensions/strings/accessibility_extensions_strings_sw.xtb

<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1287053896835709737">Njano kwenye Nyeusi</translation>
<translation id="1408730541890277710">Badilisha picha kwa maandishi yao ya alt.</translation>
<translation id="145360476452865422">Sera ya Uhuishaji:</translation>
<translation id="1555130319947370107">Samawati</translation>
<translation id="1588438908519853928">Ya kawaida</translation>
<translation id="1591070050619849194">Zima uhuishaji wa picha zote.</translation>
<translation id="1703735871906654364">Kuvinjari kwa Kibodi</translation>
<translation id="1791496371305830581">Ruhusu picha zote zilizouhuishwa.</translation>
<translation id="1974060860693918893">Mipangilio ya kina</translation>
<translation id="1996252509865389616">Ungependa kuwasha?</translation>
<translation id="2079545284768500474">Tendua</translation>
<translation id="2179565792157161713">Fungua Maelezo Marefu Katika Kichupo Kipya</translation>
<translation id="2223143012868735942">Kichujio cha rangi kinachoweza kugeuzwa ili kifae kinachotumiwa kwenye kurasa za wavuti ili kuboresha mwonekano wa rangi.</translation>
<translation id="2394933097471027016">Jaribu sasa - Kuvinjari kwa Kibodi huwa kumewashwa kwenye ukurasa huu wakati wowote!</translation>
<translation id="2471847333270902538">Mpango wa rangi wa <ph name="SITE" />:</translation>
<translation id="2648340354586434750">Shikilia chini &lt;span class='key'&gt;Chaguo&lt;/span&gt; ili kusogea kwa maneno.</translation>
<translation id="2795227192542594043">Kiendelezi hiki kinakupa kielekezi cha kusogeza katika ukurasa wa wavuti, na kukuruhusu kuchagua maandishi kwa kibodi.</translation>
<translation id="2808027189040546825">Hatua ya 1: Chagua safu mlalo yenye nyota zilizofifia zaidi:</translation>
<translation id="2965611304828530558">&lt;p&gt;Unapofikia kiungo au kidhibiti, kinaangaziwa kiotomatiki. Bonyeza &lt;span class='key'&gt;Enter&lt;/span&gt; ili ubofye kiungo au kitufe. &lt;/p&gt; &lt;p&gt;Kidhibiti kilichoangaziwa (kama vile kikasha cha maandishi au cha orodha) kinaponasa vitufe vya vishale, bonyeza &lt;span class='key'&gt;Esc&lt;/span&gt; ukifuatisha kishale cha kushoto au kulia ili kuendelea Kuvinjari kwa Kibodi. &lt;/p&gt; &lt;p&gt; Njia nyingine, bonyeza &lt;span class='key'&gt;Kichupo&lt;/span&gt; ili kuhamisha kidhibiti kinachofuata kinachoweza kuangaziwa. &lt;/p&gt;</translation>
<translation id="3252573918265662711">Usanidi</translation>
<translation id="3410969471888629217">Sahau ugeuzaji wa tovuti ili zikufae</translation>
<translation id="3435896845095436175">Washa</translation>
<translation id="3622586652998721735">Weka uwe mpango chaguomsingi</translation>
<translation id="3812541808639806898">Kitazamaji cha Maandishi ya Alt ya Picha</translation>
<translation id="381767806621926835">Bofya kulia kwenye kitu chochote kilicho na kipengele cha "longdesc" au "aria-describedat" ili kufikia maelezo yake marefu.</translation>
<translation id="4023902424053835668">Vinjari maandishi ya kurasa za wavuti ukitumia vitufe vya vishale.</translation>
<translation id="4388820049312272371">Angazia kilipo kielekezi kwa kumulika kwa kasi.</translation>
<translation id="4394049700291259645">Zima</translation>
<translation id="4769065380738716500">Picha zimebadilishwa kwa maandishi yao ya alt.</translation>
<translation id="4896660567607030658">Hakuna maoni, onyesha tu kielekezi.</translation>
<translation id="4937901943818762779">Ruhusu picha zilizouhuishwa, lakini mara moja pekee.</translation>
<translation id="4949131196216960195">Bonyeza &lt;span class='key'&gt;Tafuta&lt;/span&gt; + &lt;img src='increase_brightness.png'&gt; (kitufe cha 'Ongeza Mwangaza' au F7) ili uwashe 'Kuvinjari kwa Kibodi'. Zibonyeze tena ili uzime.</translation>
<translation id="4954450790315188152">Wakati kipengele cha Kuvinjari kwa Kibodi kimewashwa:</translation>
<translation id="5041932793799765940">Marekebisho ya rangi</translation>
<translation id="5094574508723441140">Utofautishaji ulioongezeka</translation>
<translation id="5173942593318174089">Angazia kilipo kielekezi kwa uhuishaji.</translation>
<translation id="5287723860611749454">&lt;p&gt;Tumia vitufe vya kiteuzi kusogea kwenye hati nzima. &lt;/p&gt;&lt;p&gt;Bofya popote ili kusogeza kielekezi hadi mahali hapo. &lt;/p&gt; &lt;p&gt;   Bonyeza &lt;span class='key'&gt;Shift&lt;/span&gt; + vishale ili kuchagua maandishi.&lt;/p&gt;</translation>
<translation id="5331422999063554397">Rangi Iliyogeuzwa</translation>
<translation id="5555153510860501336">Utofautishaji wa Juu Umezimwa</translation>
<translation id="5558600050691192317">Amri za Kibodi</translation>
<translation id="5594989420907487559">Tekeleza uhuishaji mara moja pekee, au zima uhuishaji kabisa.</translation>
<translation id="5631241868147802353">Mpango wa rangi ya asili:</translation>
<translation id="5650358096585648000">Majibu ya Kuonekana</translation>
<translation id="5710185147685935461">Badilisha au geuza mpango wa rangi ili kurahisisha kusoma kurasa za wavuti.</translation>
<translation id="5939518447894949180">Weka upya</translation>
<translation id="595639123821853262">Mtindo wa rangi nyeupe na nyeusi uliogeuzwa</translation>
<translation id="6017514345406065928">Kijani</translation>
<translation id="6050189528197190982">Mtindo wa rangi nyeupe na nyeusi</translation>
<translation id="6170146920149900756">Kiboreshaji cha Rangi</translation>
<translation id="633394792577263429">Shikilia chini &lt;span class='key'&gt;Dhibiti&lt;/span&gt; ili kusogea kwa maneno.</translation>
<translation id="6550675742724504774">Chaguo</translation>
<translation id="6699630355767768222">Hatua ya tatu: Batilisha mhimili wa rangi kwa marekebisho.</translation>
<translation id="6838518108677880446">Usanidi:</translation>
<translation id="690628312087070417">Kareti inaporuka umbali mkubwa:</translation>
<translation id="6965382102122355670">Sawa</translation>
<translation id="7379645913608427028">Kiwango</translation>
<translation id="7384431257964758081">Utofautishaji wa Juu Umewashwa</translation>
<translation id="7586636300921797327">Hatua ya 2: Rekebisha kitelezi hadi nyota zote zionekane katika safu mlalo iliyochaguliwa</translation>
<translation id="7658239707568436148">Ghairi</translation>
<translation id="786423340267544509">Ongeza mpaka kwenye vipengee vilivyo na vipengele vya aria-describedat au longdesc.</translation>
<translation id="7942349550061667556">Nyekundu</translation>
<translation id="8260673944985561857">Chaguo za Kuvinjari kwa Kibodi</translation>
<translation id="8321034316479930120">Sera ya Uhuishaji</translation>
<translation id="8480209185614411573">Utofautishaji wa Juu</translation>
<translation id="8609925175482059018">Bonyeza &lt;span class='key'&gt;F7&lt;/span&gt; ili uwashe Kuvinjari kwa Kibodi. Kibonyeze tena ili uzime.</translation>
<translation id="8798099450830957504">Chaguomsingi</translation>
<translation id="894241283505723656">Maelezo Marefu katika Menyu ya Muktadha</translation>
</translationbundle>