<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1016055326260264411">Aikoni ya moyo, inaweza kumaanisha Kipendwa</translation>
<translation id="1193819188371549072">Aikoni ya jua, inaweza kumaanisha wakati wa mchana</translation>
<translation id="1197443222693564123">Aikoni ya vitone vitatu, inaweza kumaanisha Zaidi</translation>
<translation id="1231311685714446044">Aikoni ya uso wenye huzuni</translation>
<translation id="1248712480115826517">Aikoni ya lenzi, inaweza kumaanisha Tafuta au Kuza</translation>
<translation id="1253694090376430115">Aikoni ya mfuko wa ununuzi</translation>
<translation id="1292759642840406299">Aikoni ya dira</translation>
<translation id="1301463715094321941">Aikoni ya simu, inaweza kumaanisha Piga simu</translation>
<translation id="1312685112570645372">Aikoni ya alama ya kiulizi</translation>
<translation id="1386033905837826130">Aikoni ya kushiriki</translation>
<translation id="157989258522571434">Aikoni ya kalenda</translation>
<translation id="1598348607589961718">Aikoni ya kishale cha juu, inaweza kumaanisha Pakia</translation>
<translation id="1632409084477505723">Aikoni ya kupakua</translation>
<translation id="1658806147928973309">Aikoni ya kuzima maikrofoni</translation>
<translation id="1677491356035817504">Aikoni ya alama ya V iliyoelekezwa chini, inaweza kumaanisha Panua</translation>
<translation id="173386679947102756">Aikoni ya kengele, inaweza kumaanisha Arifa</translation>
<translation id="175222816025430946">Aikoni ya pau tatu, inaweza kumaanisha Menyu</translation>
<translation id="1793034400053617214">Aikoni ya alama ya X, inaweza kumaanisha Funga au Futa</translation>
<translation id="1804122079878165329">Aikoni ya kishale cha kulia, inaweza kumaanisha Sogeza mbele</translation>
<translation id="2131189924434603515">Herufi i ndogo, inaweza kumaanisha Maelezo</translation>
<translation id="2177093963727449806">Aikoni ya kuonyesha upya</translation>
<translation id="221177765244658491">Aikoni ya kuzima sauti</translation>
<translation id="2265260019987849198">Aikoni ya skrini ya kwanza</translation>
<translation id="2320316128050046908">Aikoni ya kuongeza sauti</translation>
<translation id="2427288427427702833">Aikoni ya kufungua programu</translation>
<translation id="2987445268505333132">Aikoni ya Kukata Simu</translation>
<translation id="3435893727187534376">Aikoni ya vishale vinne vilivyoelekezwa upande wa nje, inaweza kumaanisha Panua</translation>
<translation id="3685101356851116974">Picha isiyo na lebo</translation>
<translation id="3845063161460806746">Aikoni ya Bomba, inaweza kumaanisha Imenipendeza</translation>
<translation id="3904695548697879411">Aikoni ya Twitter</translation>
<translation id="405782047075994056">Aikoni ya kishale cha kushoto, inaweza kumaanisha Rudi nyuma</translation>
<translation id="4302299849305494927">Aikoni ya spika, inaweza kumaanisha kiwango cha sauti</translation>
<translation id="4363712632243441817">Aikoni ya kutuma, inaweza kumaanisha kutuma video kwenye skrini ya mbali</translation>
<translation id="4384249794467006333">Picha hii haina lebo. Fungua menyu ya Chaguo Zaidi katika sehemu ya juu kulia ili upate maelezo ya picha.</translation>
<translation id="4436211924730548766">Aikoni ya alama ya V iliyoelekezwa kushoto</translation>
<translation id="4444765639179266822">Inaonekana kusema: <ph name="OCR_TEXT" /></translation>
<translation id="4540719609030900356">Aikoni ya ndege iliyotengenezwa kwa karatasi, inaweza kumaanisha Tuma</translation>
<translation id="4576178047100686001">Picha hii haina lebo. Fungua menyu ya Chaguo Zaidi katika sehemu ya juu kushoto ili upate maelezo ya picha.</translation>
<translation id="4577968231433672268">Aikoni ya kujumlisha, inaweza kumaanisha Ongeza</translation>
<translation id="4611825382945206498">Aikoni ya saa yenye kishale chenye umbo la duara, inaweza kumaanisha Historia</translation>
<translation id="4679853894970977730">Aikoni ya kamera, inaweza kumaanisha Piga Picha</translation>
<translation id="4832245585893280119">Aikoni ya hali ya hewa</translation>
<translation id="4908855810237020461">Aikoni ya saa, inaweza kumaanisha Wakati</translation>
<translation id="5121688653159243920">Aikoni ya orodha iliyowekwa vitone</translation>
<translation id="5214400792580101697">Aikoni ya kukomesha</translation>
<translation id="5586467629893654334">Aikoni ya mwezi, inaweza kumaanisha wakati wa usiku au kulala</translation>
<translation id="5599474660109692598">Aikoni ya kiputo cha katuni, inaweza kumaanisha Piga gumzo</translation>
<translation id="5617165654945759937">Aikoni ya penseli, inaweza kumaanisha Badilisha</translation>
<translation id="5621627136377293173">Aikoni ya maikrofoni, inaweza kumaanisha Rekodi</translation>
<translation id="5647477850810769350">Aikoni ya vifaa vya sauti</translation>
<translation id="5720390168116663167">Aikoni ya kishale cha juu</translation>
<translation id="5724910823641175216">Aikoni ya kishale kilichoelekezwa kwenye mzunguko wa saa, inaweza kumaanisha Rejesha</translation>
<translation id="5838904342468928321">Aikoni ya wingu</translation>
<translation id="6054619856758804514">Aikoni ya tupio, inaweza kumaanisha Futa</translation>
<translation id="6054638203631275602">Aikoni ya uso wenye furaha</translation>
<translation id="608465159662359598">Aikoni ya gia au spana, inaweza kumaanisha Mipangilio</translation>
<translation id="6209276755895393898">Inaonekana kuwa: <ph name="DESCRIPTION" /></translation>
<translation id="6240633443440794881">Aikoni ya bahasha, inaweza kumaanisha Barua pepe</translation>
<translation id="6247212328664111379">Aikoni ya mtu</translation>
<translation id="6350382280299255966">Aikoni ya uso unaotabasamu, inaweza kumaanisha Emoji</translation>
<translation id="6632254525813309835">Aikoni ya kishale kilichoelekezwa kinyume cha saa, inaweza kumaanisha Tendua</translation>
<translation id="6889412865110485830">Aikoni ya kikapu cha ununuzi</translation>
<translation id="6940482800520966738">Aikoni ya nyota</translation>
<translation id="7022838723850801004">Aikoni ya emoji ya uso wenye furaha na huzuni</translation>
<translation id="7118469954320184356">Hakuna maelezo yanayopatikana.</translation>
<translation id="7410239719251593705">Inaonekana kuwa na maudhui ya watu wazima. Hakuna maelezo yanayopatikana.</translation>
<translation id="7533959249147584474">Mchoro usiokuwa na lebo</translation>
<translation id="7742609585924342092">Aikoni ya mahali</translation>
<translation id="7745230546936012372">Ili upate ufafanuzi wa picha unaokosekana, fungua menyu.</translation>
<translation id="7796968532285333302">Aikoni ya alama ya V iliyoelekezwa chini, inaweza kumaanisha Kunja</translation>
<translation id="7819026464394689674">Aikoni ya kusitisha</translation>
<translation id="7855610409192055689">Aikoni ya klipu ya kubana karatasi, inaweza kumaanisha kiambatisho</translation>
<translation id="7994555495914042081">Aikoni ya alama ya kuteua</translation>
<translation id="8097409774376213335">Aikoni ya kishale cha chini</translation>
<translation id="8105750478534334542">Aikoni ya hainipendezi, inaweza kumaanisha haijanipendeza</translation>
<translation id="811583516810654505">Inaleta ufafanuzi...</translation>
<translation id="8147719583347050106">Aikoni ya Google</translation>
<translation id="8276790177939055966">Aikoni ya alama ya V iliyoelekezwa kulia</translation>
<translation id="8488243824626550045">Aikoni ya Facebook</translation>
<translation id="8657910582115602348">Aikoni ya Mratibu wa Google</translation>
<translation id="9039639793210005614">Aikoni ya matunzio</translation>
<translation id="9040233563616141093">Aikoni ya vishale vinne vilivyoelekezwa upande wa ndani, inaweza kumaanisha Bana</translation>
<translation id="9073800864014589651">Aikoni ya kucheza</translation>
<translation id="9105500880071990795">Aikoni ya kupunguza sauti</translation>
<translation id="913630661384792974">Aikoni ya kamera ya video, inaweza kumaanisha Rekodi Video</translation>
<translation id="947651054772746219">Aikoni ya watu</translation>
</translationbundle>