chromium/chrome/browser/password_check/android/internal/java/strings/translations/android_password_check_strings_sw.xtb

<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1355944513479998918">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yote. Jaribu tena kesho au <ph name="BEGIN_LINK" />ukague manenosiri katika Akaunti yako ya Google<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="1513858653616922153">Futa nenosiri</translation>
<translation id="1547725796794473036">{COMPROMISED_PASSWORDS,plural, =1{Nenosiri # limeathiriwa}other{Manenosiri # yameathiriwa}}</translation>
<translation id="1599766761352751884">Inakagua manenosiri (<ph name="ANALYSED_PASSWORDS" /> kati ya <ph name="TOTAL_PASSWORDS" />)…</translation>
<translation id="1713125606790339209">Akaunti zifuatazo zinatumia manenosiri ambayo yalifichuliwa katika tukio la wengine la ufichuzi haramu wa data au yaliyowekwa kwenye tovuti inayopotosha. Badilisha manenosiri haya mara moja ili udumishe usalama wa akaunti zako.</translation>
<translation id="2224120951664717045">Chrome itakuarifu utakapokuwa ukiingia katika akaunti ukitumia nenosiri lililoathiriwa.</translation>
<translation id="2670599755795384625">Anzisha upya ukaguzi wa manenosiri</translation>
<translation id="2775140325783767197">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yako. Jaribu kuangalia muunganisho wako wa Intaneti.</translation>
<translation id="3235063766008841141">Liliwekwa kwenye tovuti inayopotosha na kupatikana kwenye tukio la ufichuzi haramu wa data</translation>
<translation id="3533694711092285624">Hakuna manenosiri yaliyohifadhiwa. Chrome inaweza kukagua manenosiri yako unapoyahifadhi.</translation>
<translation id="3568945271227339929">Hakuna manenosiri yaliyoathiriwa</translation>
<translation id="3918034518766455210">Ilikagua manenosiri · <ph name="TIME_SINCE_LAST_CHECK" /></translation>
<translation id="543338862236136125">Badilisha nenosiri</translation>
<translation id="5539342724706569402">Limewekwa kwenye tovuti inayopotosha</translation>
<translation id="5840081916976222104">Badilisha nenosiri kwenye programu</translation>
<translation id="6342069812937806050">Sasa hivi tu</translation>
<translation id="7253951228444156601">Inakagua manenosiri…</translation>
<translation id="7658239707568436148">Ghairi</translation>
<translation id="7693089333295158718">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yako. Jaribu tena.</translation>
<translation id="7744192722284567281">Limepatikana kwenye tukio la ufichuzi haramu wa data</translation>
<translation id="808894953321890993">Badilisha nenosiri</translation>
<translation id="8399282673057829204">Angalia nenosiri</translation>
<translation id="8603820497269504141">Chrome inaweza kukagua manenosiri yako unapoingia ukitumia Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="8798925345090498040">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yote. Jaribu tena kesho.</translation>
</translationbundle>