chromium/chrome/credential_provider/gaiacp/strings/gaia_resources_sw.xtb

<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1156061499538526818">Nenosiri lako la kazini limebadilishwa. Weka nenosiri lako la sasa la Windows ili usawazishe akaunti yako ya Windows na akaunti yako ya kazini.</translation>
<translation id="1383286653814676580">Inatumika kutekeleza ukurasa wa kuingia katika akaunti ya Mtoa Huduma za Vitambulisho vya Google.</translation>
<translation id="2048923169632968961">Tatizo limetokea wakati wa kusawazisha nenosiri la akaunti yako ya kazini kwenye wasifu wako wa Windows. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="2515346402363002066">Kipindi chako kimekwisha. Ingia ukitumia akaunti yako ya kazini.</translation>
<translation id="2549902055700841962">Imeshindwa kuingia katika akaunti yako ya kazini. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="2566603360883977759">Huruhusiwi kutumia anwani hii ya barua pepe kuingia katika akaunti. Jaribu tena kwa kutumia akaunti ya kazini au shuleni. Iwapo bado huwezi kuingia katika akaunti, wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="2844349213149998955">Huruhusiwi kuingia ukitumia akaunti ya kibinafsi kwenye kifaa hiki. Tafadhali ingia ukitumia akaunti ya kazini.</translation>
<translation id="3217145568844727893">Ikiwa utaendelea bila kuweka nenosiri lako la sasa la Windows, unaweza kupoteza kabisa data iliyo kwenye kifaa hiki.</translation>
<translation id="3306357053520292004">Mtumiaji wa kompyuta hii tayari alikuwa ameongezwa kwa kutumia akaunti hii. Ingia ukitumia akaunti nyingine.</translation>
<translation id="3355053591933237049">Hakikisha kuwa umeunganisha kifaa chako kwenye intaneti kisha ujaribu tena</translation>
<translation id="3926852373333893095">Watumiaji wa G Suite Enterprise tu ndio wanaruhusiwa kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="399130515869721714">Imeshindwa kufungua skrini ya Google ya kuingia katika akaunti kwa sababu ya tatizo la usakinishaji wa Chrome kwenye kifaa hiki. Wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="4057329986137569701">Hitilafu ya ndani imetokea.</translation>
<translation id="4267670563222825190">Haikupata mtumiaji wa Kikoa kwenye akaunti yako. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="4744575902940448763">Tumeshindwa kusawazisha nenosiri la akaunti kwenye wasifu wako wa Windows kwa sababu ubadilishaji wa manenosiri yaliyo kwenye kifaa chako unafanywa na shirika lako pekee. Ili upate usaidizi, wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="5186761973554910131">Jina la kompyuta lisilo sahihi lilitolewa wakati wa jaribio la kubadilisha nenosiri. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="5265714013989877288">Imeshindwa kuendelea kwa sababu hitilafu fulani imetokea wakati wa kubadilisha nenosiri lako la Windows. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="5581861273642234526">Tayari akaunti nyingine ya kazini imehusishwa na kifaa hiki. Ingia ukitumia akaunti yako ya Windows.</translation>
<translation id="6033715878377252112">Kisaidizi cha Kitoa Utambulisho Unaotumia kwenye Google kwa ajili ya Windows</translation>
<translation id="6149399665202317746">Kitoa Utambulisho Unaotumia kwenye Google kwa ajili ya Windows</translation>
<translation id="6243062314475217481">Nenosiri la akaunti yako ya kazini halilingani na mahitaji ya ugumu kutoka Windows. Ili upate usaidizi, wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="6463752215771576050">Imeshindwa kujumuisha kompyuta hii katika udhibiti wa biashara.  Tafadhali ingia ukitumia akaunti nyingine ya kazini.</translation>
<translation id="6582876473835446261">Nenosiri la Windows si sahihi. Jaribu tena.</translation>
<translation id="6657585470893396449">Nenosiri</translation>
<translation id="6976261330898712570">Kifaa hiki bado hakijaandikishwa kwenye mpango wa udhibiti wa vifaa katika shirika lako. Ingia ukitumia akaunti yako ya kazini.</translation>
<translation id="7209941495304122410">Weka Nenosiri la Windows</translation>
<translation id="74122330823428762">Mtumiaji aliyefunga kifaa hiki ndiye tu anayeweza kuingia katika akaunti</translation>
<translation id="7536769223115622137">Ongeza akaunti ya kazini</translation>
<translation id="7884688232028658212">Ingia ukitumia akaunti yako ya kazini</translation>
<translation id="8109730953933509335">Kulikuwa na jaribio la kubadilisha nenosiri kwenye mtumiaji asiye sahihi. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="8448455363630347124">Akaunti yako imezimwa kwa sababu umejaribu mara nyingi mno kuingia ukitumia manenosiri yasiyo sahihi. Wasiliana na msimamizi wako ili aiwashe.</translation>
<translation id="8453641970025433267">Msimamizi wako haruhusu uingie ukitumia akaunti hii. Jaribu akaunti tofauti.</translation>
<translation id="8639729688781680518">Umesahau Nenosiri la Windows</translation>
<translation id="866458870819756755">Imeshindwa kuweka mtumiaji.</translation>
<translation id="9055998212250844221">Akaunti ya mtumiaji iliyofunguliwa na Kitoa Utambulisho Unaotumia kwenye Google katika Windows</translation>
</translationbundle>